CAF yabadili mwamuzi 15 de Agosto na Simba


CAF imebadilisha waamuzi wa mchezo wa kwanza kati ya 15 de Agosto na Simba SC utakaochezwa Jumatano kwenye CAF Champions League.

Mwamuzi wa Misri, Amin Mohamed Omar ameteuliwa kuchezesha mchezo huo baada ya mwamuzi wa Mauritius, Ahmad Imtehaz Heeralall kushindwa kusafiri kwenda Dar es Salaam.

Omar tayari ameondoka Cairo kuelekea Tanzania


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons