BMT yasitisha uchaguzi wa Simba

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuiandikia barua Simba SC ili kusitisha mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo.

Chanzo hicho kinadai kuwa BMT haiutambui mchakato huo baada ya kupokea malalamiko na kujiridhisha kikatiba.



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons