Azam FC yaibana Zedi FC
Bao lililofungwa na kiungo mshambuliaji Iddk Nado katika dakika ya 55 limesaidia Azam FC kusawazisha goli dhidi ya Zedi FC katika mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika nchini Misri usiku huu.
Mohamed Shoki wa Zedi FC aliitanguliza Kwa bao lililofungwa na dakika ya 45 kabla ya Nado kusawazisha, timu hizo zitarudiana jijini Dar es Salaam.
