Arajiga na wenzake wanne waula CAF
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Hamdan Ally, Ally Ramadhani na Nasir Salum wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Star Sport Academy(Sierra Leone) vs RS Berkane (Morocco) utakaochezwa Paynesville - Samuel Kanyon Doe Sports Complex Oktoba 17, 2026


