Anaandika Jemedari Said Kazumari


Mechi bora yenye ushindani mkubwa wa kimbinu, Speed, intensity, strengths, power, kilakitu kinaonyesha ndiyo sura ya mpira wa nchi kweli.

Yanga wazuri kwenye Transitions na Counter-Attacks. Wanajaribu kutumia vizuri nafasi nyuma ya walinzi wa Simba ambao wanashambulia kwa namba kubwa huku Kassali akiwa sio nzuri kuziba nafasi ambayo Yanga wanajaribu kuitumia.

Simba kama kawaida ya maisha yao wanamiliki mpira sana na “Swaga”, wametengeneza nafasi nyingi lakini wameshindwa kuzifanya kuwa mabao. Kosa moja la Maema limewaweka nyuma.

Mwamuzi amekuwa bora na kiwango kizuri kama kawaida yake bila kujali nani anapoteza au yuko nyuma, Arajiga is the master.

Mpaka sasa Simba ni timu bora kiwanjani hatakama wako nyuma kwa bao 1.

Sio mechi ya Chama kabisa, analeta ujanja-ujanja tu mechi sio saizi yake


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons