Al Ahly na Injinia Hersi mambo fresh
Rais wa Yanga na rais wa Chama cha Vilabu vya Afrika (ACA) Eng Hersi Said amefanya mazungumzo na uongozi wa Al Ahly nchini Misri hii le
MAMBO 4 KATIKA MAZUNGUMZO HAYO:
1.Ushirikiano: Kuimarisha uhusiano kati ya Al Ahly na Chama cha Vilabu vya Afrika.
2. Uzoefu wa kiutawala: Kubadilishana uzoefu kuhuSu uendeshaji na usimamizi wa klabu pande zote mbili
3. Maendeleo ya soka Afrika: Kujadili namna ya kuboresha mazingira ya vilabu na kuendeleza soka la Afrika
4. Uanachama wa ACA: Al Ahly imejiunga na Chama cha Vilabu vya Afrika kwa kuvutiwa na sera zake
