Akina Depu haooo makundi
Klabu ya Atlético Petróleos De Luanda ya nchini Angola imetinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Scottland.
Petro De Luanda wamepindua meza ya mabao 2-0 waliyopoteza kwenye mechi ya kwanza na kutinga hatua ya makundi.
Petro De Luanda inakuwa timu ya pili kufuzu makundi baada ya wananchi Yanga SC.
