15 de Agosto hawafungiki, rekodi zao hizi hapa

Kabla ya kukutana na Simba SC leo, 15 De Agosto walicheza michezo miwili ya hatua ya kwanza ya awali ya CAFCL dhidi Fomboni FC.

Katika michezo yote hiyo miwili, De Agosto walipata matokeo ya ushindi huku wakiwa hawajafuhusu hata bao 1.

Walishinda 4-0 katika mchezo wa nyumbani, kisha wakaja kushinda kwa bao 1-0 katika mchezo wa ugenini.

Jumla wamefunga mabao 5 kwenye michezo yote miwili na hawajaruhusu hata bao 1..!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons