Yanga yawasili salama
Kikosi cha Yanga SC kimewasili jijini Johannesburg Afrika Kusini kabla ya kuelekea Gaborone nchini Botswana.
Yanga itakabiliana na Gaborone United siku ya terehe 5, mwezi huu, wachezaji wake wamekuwa na hali nzuri kabla ya kushuka uwanjani.








