Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

Kocha mkuu wa Simba Steve Barker,amewambia viongozi wake kuwa january hii anahitaji wachezaji wapya watano.

Steve Barker,anataka Left-back,Kiungo namba 8,kiungo namba 10,winga wa kulia na beki mmoja wa kati.

Lakini pia kocha huyo amesisitiza kuwa wachezaji wawili kati ya hao watano watatoka South Africa (Kiungo namba 8 na winga).


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI