Yanga yatinga raundi ya kwanza Ligi ya mabingwa Afrika
Mchezo wa marudiano hatua ya swali Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF Champions League) kati ya klabu ya Yanga dhidi ya Gaborone United umemalizi kunako dimba la Azam Complex jijini Dar Es Salaam huku Yanga wakifuzu kwenda hatua ya pili kwa mabao (2-1).
Mabao ya Yanga wamefungwa na Peter Shalulile na Sheikh Ibrahim Toure wakati goli la Goborone United limefungwa na Lebongang.
Hivi sasa uwiano wa mabao ya jumla "Aggregate" ni (3-2).

