Yanga yamlilia Fatuma Karume

Ilikuwa Jumapili ya tarehe 09.06.2024, ambapo Mama yetu Fatma Karume alihudhuria Mkutano Mkuu wa Wanachama (Annual General Meeting – AGM) wa kihistoria.

Tunamkumbuka kwa heshima na upendo mkubwa kwa mchango wake na uwepo wake katika historia yetu.

Pumzika kwa Amani, Mama Fatma Karume. 🕊️


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI