Yanga tia maji tia maji yashinda 1-0

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara Young Africans au maarufu Yanga imepata ushindi kiduchu katika uwanja wake wa nyumbani KMC Complex usiku huu dhidi ya Geita Gold Kwa bao 1-0.

Bao pekee la Yanga limefungwa na beki wake Farouk Komara dakika ya 60 ambalo limeifanya timu hiyo kuendelea kukaa kileleni na pointi 18, kesho Simba inacheza na Azam FC.

Hata hivyo Yanga ilicheza pungufu baada ya kiungo mshambuliaji wake Stephanie Aziz Ki kuoneshwa kadi nyekundu, baada ya mpira kumslizika mashabiki wa Yanga walionekana kumlaumu kocha wao.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI