Yanga, Simba na Gor Mahia uwanjani mwishoni mwa wiki Ligi ya mabingwa Afrika
Msimu wa CAF Champions League unaanza kwa vigogo wa Tanzania; Yanga SC na Simba SC wakiwa tayari kwa hatua ya kwanza ya mchujo.
Yanga itakuwa ugenini kukutana na Gaborone United, huku Simba wakikabiliana na Mighty Wanderers nao wakiwa ugenini.
Majirani Gor Mahia wao watawakaribisha Pyramids FC kutoka Misri na mechi
GABORONE UNITED YANGA SC
Jumamosi, 5 Septemba
Saa 1:00 Usiku
Azam Sports 2 HD
MIGHTY WANDERERS
SIMBA SC
Jumapili, 6 Septemba
Saa 9:00 Alasiri
Azam Sports 2 HD
