Yanga na ST George kumenyana kesho
Baada ya mikiki ya Ligi Kuu, Wananchi Yanga SC Septemba 18, 2026 watakuwa na kibarua kingine katika mchezo wa kirafiki dhidi ya St. George ya Ethiopia.
Mchezo huo utachezwa kesho Ijumaa kuanzia saa 12 00 jioni huku mechi hiyo ikirushws live na Azam Tv
