Yanga na GSM Foundation zatoa msaada kwa watoto Botswana

Uongozi wa Klabu ya kwa kushirikiana na GSM Foundation leo umetembelea kituo cha Ramotswa Centre for Deaf Education na kuwapatia mahitaji mbalimbali kwa ajili ya kituo hicho.

Kituo hiki kinatoa huduma za makazi (boarding) na malezi ya awali kwa watoto wenye changamoto za kusikia, kwa lengo la kuwasaidia kupata elimu, malezi na mazingira bora ya kukua na kujiendeleza.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI