Yanga imenipa thamani kubwa- Mwalimu

Mchezaji wa Yanga Selemani Mwalimu ameweka bayana ni kwa namna gani klabu ya Yanga imempa thamani tofauti na klabu amepita hapo mwanzo.

Seleman amesema kwa heshima hii inaniongezea Nguvu za kupambana, hivyo nitapambana kwasababu timu yangu inaniheshimisha ,pia nitaweka Jitihada zangu zote katika mechi zangu endapo Mwalimu akinipa nafasi nitazitumia vizuri na mashabiki wa Yanga watapenda.

Amesema Mwalimu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI