Waamuzi wanne wa Tanzania kuchezesha Ligi ya mabingwa Afrika

Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea) utakaochezwa uwanja wa Miloud Hadefi Septemba 4, 2026

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI