TRA United yapata ushindi wa kwanza Ligi Kuu

Timu ya TRA United ya mkoani Tabora imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 mchezo wa Ligi Kuu bara katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Magoli ya TRA United yamefungwa na Emmanuel Mwanengo, Nonyem Okorocha ambaye amejifunga na Anni Elija.

Goli la Pamba Jiji limefungwa na Abdulkarim Yunusi, hali si nzuri kwa Pamba Jiji ikiendelea kufanya vibaya msimu huu, lakini huu ni ushindi wa kwanza kwa TRA United kuupata tangia kuanza ligi



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI