Tanzania, Madagascar hakuna mbabe

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jioni ya leo imeilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 timu ya taifa ya Madagascar mchezo wa kufuzu mataifa Afrika, AFCON
zitakazofanyika baadaye mwakani katika ardhi ya Tanzania, Kenya na Uganda.

Goli la Tanzania limefungwa na Cyprian Kachwele, hata hivyo Taifa Stars imekosa mabao ya wazi hasa mshambuliaji wake Simon Msuva.

Mechi nyingine ni kama ifuatavyo.

FT: Burundi 2-2 Algeria
FT: Lesotho 0-2 Morocco
FT: Ethiopia 0-1 Senegal
FT: Sudan Kusini 0-5 Misri
FT: Comoros 1-0 Namibia

Mechi nyingine ni.

DAKIKA 70'

 Cape Verde 1-2 Rwanda 
 Ghana 2-3 Gambia 
 Guinea-Bissau 2-0 Nigeria 
Uganda 1-0 Libya 
Zambia 1-0 Togo

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI