Stellenbosch, Kaizer kucheza na Simba Afrika Kusini


Simba SC inatarajia kuweka kambi Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya, huku ikipanga kucheza mechi 2 hadi 3 za kirafiki dhidi ya timu zenye ushindani mkubwa.

Kwa sasa, Stellenbosch FC na Kaizer Chiefs zipo kwenye mazungumzo ya kucheza mechi za kirafiki na Simba wakiwa Afrika Kusini.

Lengo ni kupata ushindani mkubwa utakaosaidia kujiandaa vizuri kwa ligi na CAF Champions League.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI