Singida BS kukutana na Tusker kombe la Shirikisho
Iwapo Singida Black Stars watafanikiwa kufuzu kesho dhidi ya Al Ghazala Wau, watakutana na Tusker FC katika raundi ya pili ya awali ya CAF Confederation Cup.
Tusker FC tayari imefuzu rasmi hatua hiyo baada ya kuiondosha Al Ahli Madani kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-2.
