Simba yamkaribisha Gamondi
Tumepata ugeni wa Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi akiongozana na maafisa wengine wa benchi la ufundi na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini kwa lengo la kujenga ushirikiano kati ya klabu na TFF katika eneo linalohusisha timu za taifa.














