Simba yageukia utalii Sauzi

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wapo ziarani nchini Afrika Kusini lakini wakiwa uko wametembelea mbuga ya wanyama na kujionea aina flani ya wanyama waliopo kwenye mbuga hiyo.

Siku ya mapumziko na utalii kutembelea hifadhi ambayo ipo katika eneo ambalo tumeweka kambi hapa Afrika Kusini.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI