Simba Queens mbabe wa Yanga Princess

Timu ya Wanawake wa Simba Queens imechomoza na ushindi wa 3-0 dhidi ya Yanga Princes kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kwa upande wa Wanawake katika uwanja wa KMC Complex, Mwenge Dar es Salam.

Simba Queens imetinga fainali ya michuano ya Ngao ya Jamii 2026 ambapo itachuana JKT Queens iliyotinga hatua hiyo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa Queens kwenye nusu fainali ya kwanza.

Mabao ya Simba Queens yamefungwa na Vivian Corozone, Senat Demise na Mary Siyame

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI