Simba nao kama Yanga, yatoa msaada kwa watoto Malawi
Klabu ya Simba imetembelea na kutoa msaada kwenye kituo cha kutunza watoto cha Ministry of Hope Crisis kilichopo hapa Lilongwe, Malawi kama sehemu ya kurudisha kwa jamii kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika.














