Simba kutumia uwanja wa Uhuru mechi za kimataifa
Uhuru Stadium inaendelea kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya usiku wa soka la kimataifa, huku uwanja huo ukitarajiwa kuwa mwenyeji wa mchezo wa nyumbani wa Simba SC katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) mwishoni mwa wiki ijayo.
Jukwaa linaandaliwa, Simba inajiandaa ni muda wa Wanasimba kuonyesha nguvu zao kwenye anga za CAF
