Simba kumtoa kwa mkopo Loemba

Simba SC ina mpango wa kumtoa ndani ya kikosi chake kiungo wa kati Inno Jospin Loemba ili nafasi yake ichukuliwe na mchezaji mwingine.

Loemba ameshindwa kupata nafasi ya kudumu katika kikosi c
ha kwanza cha Steve Barker, hivyo Simba imeanza kutafuta mchezaji mwingine ambaye anaweza kuipa timu hiyo faida zaidi.

Kwa sasa, Simba pamoja na watu wanaomsimamia Loemba wameanza mchakato wa kutafuta timu ambayo atajiunga nayo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI