Seleman Mwalimu amjibu Chama


Baada ya Clatous Chama kudai kuwa Seleman Mwalimu huenda akawa anajutia kujiunga na Yanga SC baada ya kuikataa Simba, mshambuliaji huyo ameibuka na kutoa majibu.

Mwalimu amesema yupo na furaha kubwa Yanga na haoni sababu ya kulalamika, akisisitiza kuwa anafurahia maisha yake ndani ya klabu hiyo.

“Kaka nipo na furaha sanaaaaaaa na enjoy kuwa hapa Yanga ya moto mzee. Wanasema nilalamike kwa kipi mzee? Huku maisha safi, Hamdullilah na enjoy kuwa hapa.”

— Seleman Mwalimu kupitia Instagram


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI