Seleman Mwalimu aisawazishia Yanga

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika Dar Young Africans maarufu Yanga, usiku huu wamenusurika kulala baada ya kutoka sare ya 1-1 na Gaborone United uwanja wa Taifa nchini Botswana.

Gaborone United walikuwa wa kwanza kupata bao kipindi cha kwanza lililofungwa na Obry Amseb dakika ya 33 kwa mpira wa kutenga, iliwachukua Yanga dakika ya 90 kusawazisha goli hilo likifungwa na Seleman Mwalimu Gomez.

Yanga wanapata sare muhimu ya 1-1 ugenini baada ya bao la dakika za mwisho


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI