Sandaland yamshika pabaya Waziri Makonda
Waziri wa habari, michezo, sanaa na utamaduni Mhe Paul Makonda ametumiwa demand notice akitakiwa kulipa fidia pamoja na kuomba radhi kwa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear ambao ni Wazabuni wa Jezi za timu za Taifa mpira wa miguu nchini Tanzania.
Kampuni hiyo imedai kuwa wamemtumia Paul Makonda kama Mtu binafsi na sio Waziri mwenye dhamana ya Michezo.
