Samatta ang' ara tena kwa mabao Ligue 1

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga goli lake la pili la msimu kwenye Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1) wakati timu yake ya Le Havre AC ikipoteza kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Toulouse FC.

Bao hilo linakuwa la pili msimu huu wa 2026/27, baada ya kufunga goli lake la kwanza mnamo Agosti 29, 2026 kwenye sare ya 1-1 dhidi ya Lyon.

FT: Toulouse 3-2 Le Havre
⚽ 49' Tengstedt (P)
⚽ 51' Tengstedt
⚽ 79' Jorgensen
⚽ 71' Maja
⚽ 88' Samatta


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI