Peter Shalulile atabiriwa kuifunga Simba Oktoba 10
Wana Michezo wanadai kuwa licha ya nyota bora wa klabu ya Yanga SC, Aziz Ki, kupewa kadi nyekundu, haimaanishi kuwa siku ya dabi dhidi ya Simba SC hawatafungwa. Mmoja wa wachambuzi wa soka anasema kuwa lazima Peter Shalulile afunge goli dhidi ya Simba SC.
Moja ya maneno yake anasema kulingana na mchezaji huyo kuwa na kiwango cha juu zaidi ambacho wachezaji wengine hapa Tanzania au kwenye vilabu vyetu hawana. Kama alivyowahi kuwakosa dabi iliyopita pale Zanzibar kweli hii ataacha sarama? Mimi kwa upande wangu siamini.
