Ngasa ampa makavu Chama Jr

Mkongwe wa Soka la Tanzania na Top Scorer of All Time wa Tanzania National team Mrisho Ngasa ametoa dukuduku lake kwenye sakata linalomhusisha mchezaji wa Simba ChamaJR.

Ngassa ametoa ushauri kwa mchezaji huyo kuwa ni bora zaidi kwake kujikita viwanjani kuliko hizi vita za nje ya uwanja.

Ngassa amesema kwamba hizi timu ukiwa kwenye nyakati sahihi kama hizi utapata likes, comments na kila hitaji la moyo wako lakini ukishatoka hvyo vyote vinapungua so lazima kusoma alama za nyakati.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI