M'mombwa, Mnoga waungana na wenzao Stars

Charles M’mombwa, Miano Danilo pamoja na Haji Mnoga leo wameungana na wenzao kwenye kambi ya Taifa Stars kuendelea na maandalizi ya michezo ijayo.

Taifa Stars inajiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2027, sambamba na michezo miwili ya kirafiki ambayo inatarajiwa kuchezwa nchini Morocco mwanzoni mwa mwezi


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI