Mimi sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga - Chama

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia, Clatous Chama wa Simba ya Tanzania, amefunguka yafuatayo kwamba hakuwahi kuwaza wala kuota kucheza Yanga ila ilitokea tu.

"Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu”

“Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini ninachoweza kusema ni kwamba, nimerudi Simba na siku niliyosaini Simba nilifurahi
sana hata familia yangu ilifurahi”



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI