Mecky Mexime njiani kutua TRA

Kocha wa zamani wa Mbeya City, Mecky Mexime, yupo njiani kujiunga rasmi na klabu ya TRA United ili kuchukua mikoba ya kocha Etienne Ndayiragije.

Kocha Mecky Mexime anaenda kuifundisha timu hiyo ya wakusanya mapato ya TRA United na kuchukua nafasi ya Kocha Etienne Ndayiragije.

Hatua hii ya Mexime inakuja baada ya kuachana na klabu ya Mbeya City


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI