Mecky Mexime alikataa masharti ya TRA United

Inasemekana Miongoni mwa vitu vilivyopelekea kocha Mecky Mexime kuachana na TRA united licha ya makubaliano kufikiwa na kusimamia mazoezi ya timu hio ni sharti la kutakiwa kushinda mechi nne.

Mechi hizo nne za TRA united ni dhidi ya Pamba Jiji, Namungo, Yanga, Singida Black Stars, kama atashinda mechi hizo basi atapewa mkataba wa kudumu kutoka kwenye mkataba wake wa kua kocha wa muda (Interim Coach ).


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI