Maxi Nzengeli avunja rekodi ya Kelvin Nashon

Max Nzengeli ametumia mechi 5 tu kutwaa tuzo 4 za Mchezaji Bora wa Mechi, akivunja rekodi ya Kelvin Nashon aliyetwaa akiwa Pamba Jiji.

Msimu uliopita, Nashon alikuwa miongoni mwa wachezaji wanne (4) waliochukua tuzo nyingi msimu uliopita.

Max anahitaji tuzo moja tu kuvunja rekodi ya Feisal na Okello, waliokusanya tuzo 5, wakiwa miongoni mwa wachezaji waliochukua tuzo nyingi zaidi, nyuma ya kinara Clatous Chama aliyechukua tuzo 7.

Okello na Feisal walitumia zaidi ya michezo 15 kutwaa tuzo 5 msimu mzima, wakati Max ametumia mechi 5 tu.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI