Manqoba atimkia Afrika Kusini

Kocha wa mabingwa wa Tanzania, Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi wakati wa mapumziko ya kalenda ya kimataifa ya FIFA kwa ajili ya mechi za kufuzu AFCON.

Manqoba pia amewapa mapumziko wachezaji wote wa Yanga ambao hawakuitwa katika timu zao za taifa. Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea kambini Septemba 28, 2026, kuanza maandalizi ya Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI