Maagizo ya Waziri Makonda kwa viongozi wa Simba ni haya hapa

Katoka Kikao cha Waziri wa Michezo Paul Makonda na Viongozi wa Bodi ya Simba jambo kubwa ambalo wameelekezwa kufanya ni viongozi washirikiane, kila mtu atimize majukumu yake kwa maslahi ya taasisi.

Kuanzia sasa tusisikie upande wowote ukishambulia upande mwingine. Iwapo ikitokea upande huo ndio hauna nia njema na klabu bali maslahi binafsi ameelekeza Waziri Wa Michezo

kikao hicho kilichofanyika jana mchana katika hoteli ya Gran Melia Arusha.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons