Libasse Gueye kukosa dabi
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Libasse Gueye huenda akaikosa dabi ya Kariakoo mnamo Oktoba 10, mwezi ujao.
Ni baada ya kupata maumivu makali ya kifundo cha mguu akiwa mazoezini iliko kambi ya simba nchini afrika kusini
Madaktari wanasema atakua nje kwa wiki 3 au 4 ili arejee tena
