Libasse Gueye aingia anga za Bruno Fernandez na Pedro Gonzalez
Manchester wana Bruno Fernandes
Barcelona wana Pedri Gonzalez
Man City wana Rayyan Cherki
Madrid wana Arda Guller
Simba wana Libasse Gueye, laiti kama Simba ingelikuwa Taifa basi Gueye angelikuwa " National treasure halisi ya kutumainiwa inayopaswa kutunzwa kwa hali na Mali.
Gueye mpaka sasa amecheza mechi tano na amefanikiwa kutia assist tano ikiwa ni mwendelezo mzuri kwake msimu huu
