Kutoitwa timu ya taifa, Chama alitangaza kustaafu kitambo
Nyota wa klabu ya Simba raia wa Zambia Clatous Chota Chama "Triple C" ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Zambia "Chipopolo".
Na hiki ndicho alichokisema Chama JR,kwa nini amefanya Maamuzi ya kustaafu kipindi hiki:-
"Muda wangu umeisha,sasa hivi Zambia kuna wachezaji wengine wengi wana nguvu.Kwahiyo hao wanaweza kuipambania bendera ya Chipopolo"
-Clatous Chama, Aliyekuwa Mchezaji wa timu ya taifa ya Zambia.
