Kumbe Manqoba kaendeleza rekodi ya Mamelod


“Yote ninayoyafanya ndani ya klabu yangu hii mpya, Yanga SC, naona niko kwenye rekodi ya nyuma ya mwaka 2024, pale Afrika Kusini nikiwa na klabu yangu Mamelodi. Nilifanikiwa kupata alama zote kwa michezo mitano, hakuna mchezo niliopoteza, na hii sio mara ya kwanza kufanya vizuri.

Pia nimekuja Tanzania, nimekuta ana muendelezo mzuri. Sikujali hilo, nikamfunga kwenye Ngao ya Jamii. Hivyohivyo tarehe 10, hakuna kitakachobadilika. Na uzuri, nilipata rekodi ya wenzetu ni namna gani wana uchungu na sisi, kwahiyo hatuna presha kabisa juu ya maendeleo yetu dhidi yao.”


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI