Kipa wa Azam FC azikwa

Taratibu za mwisho za maziko ya kipa wetu, Iddy Salim, zimefanyika jana saa 12 jioni Kata Mziha, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro.

Pumzika kwa amani, Iddi Salim

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI