Juma Mgunda shakani
Juma Mgunda amekuwa kocha wa kwanza mzawa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara 2026/27 kupoteza michezo 4 mfululizo ya ligi.
Pia amekuwa kocha wa kwanza mzawa kupoteza michezo minne mfululizo ya ugenini msimu huu:
2️⃣-1️⃣ vs JKT Tanzania
3️⃣-2️⃣ vs Singida Black Stars
2️⃣-0️⃣ vs Azam FC
1️⃣-0️⃣ vs Dodoma Jiji
Kwa mwenendo huu kocha Mgunda anajiweka shakani na kuiweka timu majaribuni
