Ibenge amtaja Chama

Kocha Mkuu wa Azam FC Florent Ibenge ametoa tathmini nzito kuhusu ushindani kileleni mwa soka la bongo, akibainisha kuwa kikosi chake bado kipo nyuma kidogo kulinganisha na Simba SC kutokana na mabadiliko makubwa ya wachezaji waliyoyafanya klabuni hapo.

​Akimulika mbinu za Simba SC athari ya kiungo mshambuliaji Clatous Chama Ibenge alisifu mtindo wa uchezaji wa watani wao: "Hatutabadilika na Simba hawatabadilika, wanapenda kucheza mpira na ukiwa na mchezaji kama Chama huwezi kubutua. Kwa upande wetu tuko nyuma kidogo kuliko Simba maana walibaki na timu yao hawajabadilika, sisi tumebadili wachezaji wengi sana."

​Kauli hiyo ya Ibenge {abainisha changamoto ya kiufundi inayokabili Azam FC katika kutengeneza muunganiko mpya kikosini, huku akiitazama Simba SC kama timu iliyostawi kufuatia kuwekeza kwenye muundo endelevu na uzoefu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI