Guardiola kuinoa Green Worriers
Aliyekuwa kocha wa timu ya Hausing FC ya mkoani Njombe ambayo inashiriki Championship Seleman Kitunda "Guardiola" amejiunga na Green Worriers za Mwenge jijini Dar es Salaam.
Taarifa za kuaminika kwamba Guardiola tayari ameanza kazi ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki First League, maamuzi ya kumchukua Kitunda ni kusaidia kuirejesha Championship timu hiyo ambayo iliwahi kuiondosha mashindanoni timu ya Simba
