Geita Gold na matokeo ya kushangaza Ligi Kuu bara

Klabu ya Geita Gold kutoka mkoani Geita ni miongoni mwa timu iliyocheza na timu zote tatu kubwa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Haya ni matokeo yao ya Jumla katika michezo Sita ya Ligi mpaka sasa

✅️1-0 vs MBEYA CITY
❌️1-0 vs NAMUNGO FC
✅️6-2 vs KAGERA SUGAR
🤝2-2 vs AZAM FC
❌️2-0 vs SIMBA SC
❌️1-0 vs YANGA SC

Kwenye timu za madaraja ya kati wamechukua alama sita na wamecheza mchezo mmoja tu nyumbani huku wakiwa na alama saba katika nafasi ya tisa.

Licha ya kucheza na Vigogo wote lakini idadi kubwa ya mabao waliyoruhusu Kwenye mchezo mmoja ni mawili pekee.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI